Ufaransa

Darasa la watoto likiandaa maonesho ya muziki ya furaha kwa ajili ya sherehe

Marafiki na majirani kutoka jumuia ya Alfortville iliyopo karibu na katikati ya Paris, walikusanyika kusherehekea tukio la kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Ratiba ilijumuisha nyimbo, sala na kuonesha filamu ya *Mwanga wa Dunia*.