Sweden

Jumuia ya Kibahá'í wakiandaa tukio katika nyumba ya makumbusho Sweden

Katika nyumba ya makumbusho Stockholm jioni ya tarehe 18 Oktoba, mjumbe wa jamii ya ki- Baha’i aliongelea kuhusu historia ya Imani ya ki- Baha’i katika nchi na akatoa mtazamo wa ki- Baha’i katika historia ya kisasa ya Sweden. Hii iliambatana na sherehe za kuzaliwa kwa Baha’u’llah, ambayo ilifuatiwa na maonesho ya muziki, mazungumzo mafupi, filamu na viburudisho.