Costa Rica

Jumuia ya watu wa asilia wa Costa Rica wajenga jengo jipya kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili

Pale wabaha’i wa jamii ya watu wa asilia ya Talamanca, costa Rica, walipogundua senta yao ilikua ni ndogo sana kukaribisha wageni 500 waliotarajiwa kuhudhuria sherehe za miaka mia mbili, waliamua kujenga jengo jipya na kuremba maeneo yanayopazunguka kwa kutumia vifaa vilivyotumika.