Uingereza

Kijitabu cha kuadhimisha miaka 200 ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh

Jamii ya ki-Bahá’í ya Uingereza iliandaa kijitabu kizuri kilichosambazwa kwa watu wote waliopenda kujifunza zaidi juu ya Bahá’u’lláh katika kipindi cha kuadhimisha miaka mia mbili.