Ukraine

Kongamano la kitaaluma lilionesha ushawishi wa Bahá’u’lláh katika dini huko Kiev

Kongamano la kitaaluma lililoandaliwa na taaluma ya dini, philosophia, na mafunzo ya utamaduni katika vyuo mabli mbali vya Ukraine lilifanyika kuenzi miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.