Kosovo

Kosovo washerekea kwa muziki, maigizo

Ikiwa na heshima, ratiba ya muziki na igizo ilifanyika katika mji wa Pristina Kosovo. Kwaya ya utaalamu na mtaalamu mwimbaji opera aliimba wimbo katika sherehe. Nyimbo nyingi zilizoimbwa zilitungwa maalum kwa ajili ya maadhimisho ya miaka mia mbili.