Denmark

Kushiriki kwa pamoja na vipande 200 vya keki

Jumuia ya Wabahá’í wa Aalborg, Denmark, walisambaza vipande 200 vya keki katika tukio la wazi la kuenzi miaka mia mbili. Tukio hilo pia lilijumuisha bango maalum lenye maandiko yanayojulikana vizuri ya Bahá’u’lláh, "Dunia ni nchi moja na wanadamu ni raia wake."