DRC

Maandamano ya miaka mia mbili Goma

Marafiki huko Goma wakiimba na kucheza wakiandamana kutoka makao makuu hadi kati kati ya mji. Hii iliashiria mwanzo wa sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá'u'lláh katika klasta yao.