Brazili

Makabila ya asili wamuenzi Bahá’u’lláh kwa sherehe maalum.

Wajumbe wa kabila la Kiriri, kabila la asili huko Brazili mashariki, walienzi maadhimisho ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh kwa sherehe maalum ya Toré- desturi ambayo jamii hukutana kwa pamoja kwa furaha na heshima ya hali ya juu kuungana na wahenga wakale kupitia sala na nyimbo.