India

Maonesho ya moja kwa moja ya ratiba kutoka Nyumba ya Ibada, India ikianza

Toka kufunguliwa kwake mnamo mwaka 1986, imekadiriwa kuwa wageni millioni 100 walitembelea Nyumba ya Ibada ya ki-Bahá’í huko New-Delhi, na kuifanya kuwa moja ya sehemu zinazotembelewa zaidi sana duniani. Jengo mashuhuri, Nyumba ya Ibada imekuwa kitovu cha fahari cha taifa la India. Linapendwa na watu wa imani zote kama alama ya usafi na amani.