Turkey

Mchoraji wa michoro ya rangi apata hamasa kutoka Maneno Yaliyofichwa

Akihamasishwa na Maandiko ya Bahá’u’lláh kutoka *Maneno Yaliyofichwa*, mchoraji wa michoro ya rangi kutoka Antalya, Uturuki, aliandaa kazi za kisanii katika kujiandaa na sherehe za miaka mia mbili.