Chile

Onesho la La Reina kuhusu maisha na mafundisho ya Bahá’u’lláh

Huku Santiago, Chile, jumuia ya Wabahá’í wa La Reina-jimbo karibu na Nyumba ya Ibada-waliandaa maonesho katika Kituo cha Utamaduni cha La Reina kuonesha picha na taarifa zinazohusiana na maisha na mafundisho ya Bahá’u’lláh.