Spain

Onesho la muziki katika visiwa vya Canary

Huko Gran Canaria, kisiwa cha visiwa vya Canary, kikundi cha marafiki kutoka kitongoji cha Jinamar walionesha onesho la muziki kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.