Trinidad na Tobago

Rais wa Trinidad na Tobago awasilisha ujumbe wa kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh

Tarehe 19 Oktoba wawakilishi wa Kibahá’í walikutana na Rais wa Trinidad na Tobago, Anthony Thomas Aquinas Carmona, ambaye aliweka saini na kuwakilisha ujumbe kwa jamii ya Kibahá'í.