Slovakia

Sherehe Bratislava, Slovakia

Katika Senta ya Kibahá’í Bratislava, sherehe ilifanyika kuadhimisha miaka mia mbili. Viongozi, makundi ya imani tofauti, na mashirika yasiyo ya serikali yanayofanya kazi kwa karibu na jamii ya Wabahá’í walikua kati ya waliohudhuria. Wageni waliburudishwa na muziki, filamu *Mwanga wa Dunia* na maongezi.