Pakistan

Sherehe huria katika kitongoji cha Sindh, Pakistan

Msafara mdogo ulitembelea jumuia zilizosambaa kwenye eneo la mashariki ya Sindh, Pakistani, wakicheza wimbo wenye dhima kwa lugha ya asili, ulioandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuadhimisha miaka mia mbili. Matembezi yalisababisha sherehe huria.