Colombia

Sherehe katika shule huko Norte del Cauca

Vijana kutoka El Chamizo, colombia, walihamashika kuandaa sherehe yao ya miaka mia mbili katika shule yao. Marafiki sitini, wakiwemo walimu, wazazi,na wanafunzi wenzao wa darasa moja, walihudhuria sherehe, ambazo ziliambatana na maelezo kuhusu maisha ya Bahá’u’lláh.