Uholanzi

Sherehe katika Taasisi ya sanaa Hague, Uholanzi

Katika studio za Pulchri Hague, wageni walikusanyika kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Studio za Pulchri pia zilikuwa wakaribishaji wa kongomano la kwanza la baraza linalopingana na vita, ambalo liliitwa Central Organization of a Durable Peace, ambalo `Abdu'l-Bahá​ aliandika barua zilizojulikana kama Nyaraka za Hague.