Colombia

Sherehe Los Castillos

Huko Los Castillos, kijiji kidogo kilichojengwa na familia 150, jamii ya Zenú ya watu wa asili walisherehekea miaka mia mbili kwa sherehe iliyochangamka iliyoambatana na dansi ya porro - dansi ya asili kutoka mikoa ya Córdoba na Sucre.