Romania

Sherehe Romania zaleta watu pamoja katika jumuia

Huko Toplita, sherehe za miaka mia mbili za kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh za kitongoji zilileta kwa pamoja watu 130 kutoka maeneo mbali mbali kwenye tukio la furaha, likijazwa kwa muziki na dansi. Maonesho matatu ya dansi yalionesha utamaduni wa hali ya juu wa watu, ikiwemo dansi ya asili iliyo oneshwa na watu kutoka jumuia ya Roma.