Austria

Sherehe Vienna

Sherehe kubwa ilifanyika katika Senta ya Kibahá’í ya Kitaifa Ijumaa jioni ikiwa na wawakilishi kutoka jamii za dini mbali mbali kusheherekea kuzaliwa kwa Báb na kuanza kwa sherehe za kuadhimisha miaka mia mbili.