El Savador

Sherehe za El Savador zawajumuisha watu wazima na watoto

Ukumbi huko Santa Tecla, El Savador, ulijaa wakati jumuia ikikusanyika kuangalia filamu ya *Mwanga wa Dunia*. Mapema siku hiyo, watoto kutoka shule ya Riḍván walikua na sherehe ya kipekee ya miaka mia mbili, ambayo ilijumuisha nyimbo, maonesho na sala.