Vanuatu

Sherehe zikiendelea huko Port Villa, Vanuatu

Visiwa vya Vanuatu vimekuwa ni makao makuu ya nguvu ya shughuli katika kipindi hiki cha sherehe za miaka mia mbili. Hapa vijana wamekusanyika Port Vila kujiandaa na maandamano makubwa katika pande zote za mji mkuu, Port Villa.