Visiwa vya Pasifiki

Visiwa vya Pasifiki vyasheherekea miaka mia mbili

Maelfu ya visiwa vya Oceania vilivyosambaa Pasifiki vimeingia katika kipindi cha sherehe za miaka mia mbili jioni hii, tarehe 20 Oktoba. Visiwa hivi ni makazi ya Nyumba ya Ibada ya ki-Bahá’í ya mabara nje ya mji wa Apia, Samoa, na mipango infanyika kujenga nyumba za ibada za kitaifa na za kijiji zitakazojengwa huko Port Morseby, Papua New Guinea, na Tanna, Vanuatu, kwa mtiririko huo.