Honduras

Wabahá’í wa Honduras walishiriki kwenye maandamano ya maua

Jamii ya WaBahá’í ya Siguatepeque walishiriki katika maandamano ya Tamasha la Maua katika jumuia yao. Jukwaa l ya rangi rangi ilirembwa na vifungu kutoka mafundisho ya Bahá’u’lláh, ikiwemo: "Ewe Rafiki! Katika bustani ya moyo wako, usipande chochote isipokuwa uaridi la upendo..."