Uingereza

Wasanii wa Hackney, London, watengeneza kazi za kisanii zilizohamasishwa na mafundisho ya Bahá’u’lláh

Wabahá’í wanaoishi Hackney London ya mashariki walialika wasanii wa mtaani kushiriki kwenye sherehe zilizohusiana na sherehe za miaka mia mbili kwa kutengeneza kazi za kipekee za sanaa zilizo hamasishwa na dhima kutoka mafundisho ya Bahá’u’lláh. Jamii ilionesha kazi za sanaa kwenye nyumba ya sanaa ya mtaani.