Lango lilorembwa na watoto katika mada ya upendo Kama tafakari katika wema wa kuonyesha upendo kwa watu wote, watoto huko Macedonia walipamba lango kutokana na yale waliyojifunza. Katikati ya lango kulikuwa na kifungo cha Bahaullaj: "Ewe Rafiki! katika bustani ya moyo wako, usipande chochote bali waridi la upendo..."