close

Pakistan

Wimbo wa shangwe kwa ajili ya sherehe
Kundi la marafiki kutoka vijiji mbalimbali vya Sindh, Pakistan, watayarisha wimbo wa kuchangamka wa kuadhimisha ujio wa Báb na Bahá’u’lláh.