close

Canada

Uhuishaji kuonesha nafasi ya Wadhihirishaji
Uhuishaji huu, wa msanii kutoka Vancouver, Canada, uliokuwa inspired ana ukuaji unaotokana na maduru. Ni tafakari ya matokeo ya mafundisho ya Báb na Bahá’u’lláh katika maendeleo ya jamii.