Mazoezi ya kisanii yaleta jumuia kwa pamoja Katika mji wa pwani wa Limbe, Cameroon, watoto, vijana na watu wazima walifanyia mazoezi kazi zao za kisanii kwa sherehe za miaka mia mbili. Washiriki walihisi nguvu ya ubunifu ya dansi mahiri kwa ajili ya amani na muziki na uimbaji wa furaha.