close

Canada

Wasanii huko Canada warekodi albamu kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili
Kikundi cha wasanii huko Canada wamerikodi albamu ya nyimbo ikichunguza maisha ya mashujaa wa mwanzo wa Imani kuadhimisha miaka mia mbili ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bab.