close

Australia

Usiku wa sanaa ukifanya tafakari juu ya mashujaa wa mwanzoni wa Imani
Usiku wa shughuli za kisanii ulitilia mkazo kwenye maisha ya baadhi ya mashujaa wa mwanzoni wa Imani ya Kibahá’í. Wahudhuriaji wa "Usiku wa Sanaa wa Mashujaa" mji wa Brisbane, nchini Australia, walipiga muziki, walisimulia hadhithi, na kughani mashairi kwa hali ya heshima na upendo mbele ya watu zaidi ya 200.