close

Australia

Sanaa ya Kaburi la Báb iliyochongwa kwa miale (laser cut)
Sanaa ya mbao iliyochongwa kwa miale (laser cut) kutoka Perth, Australia, iliyokuwa imehamasishwa na Kaburi la Báb lililo Haifa, iliandaliwa kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili Yake.