Bendera zilizotengenezwa kwa tukio la heshima kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili Mkusanyiko rasmi uliofanywa na jamii ya Wabahai wa Uingereza iliambatanisha milolongo ya bendera iliyotengenezwa mahsusi kuelezea umuhimu wa misheni ya Bab na kuonyesha dondoo kutoka kwenye Maandiko Yake.