Katika kipindi cha sherehe za miaka mia mbili, walimu madarasa ya watoto waliwaleta wamama pamoja. Walimu wa madarasa ya watoto huko Bridgetown, Barbados, waliwaalika mama wa wanafunzi wao katika majadiliano yanayochunguza jukumu la umuhimu la wakina mama katika jamii. Kikundi kilijifunza vifungu kama hichi kifuatacho: "Kwakuwa wakina mama ni walimu wa kwanza, washauri wa kwanza; na hakika ni wakina mama ndio wanaamua furaha, na ukuu wa siku zijazo, njia za adabu na kujifunza juu ya hukumu, ufahamu na imani ya watoto