close

Japani

Maandalizi ya sherehe za miaka mia mbili Japani
Karatasi za sanaa za kinaganaga za mawasilisho makini ya matukio kutoka maisha ya mashujaa wa mwanzoni wa Imani ya Kibahai, maandalizi ya sherehe za miaka mia mbili huko Japani yanagusa jitihada za ubunifu za nchini kote. Kikundi huko Utsunomiya waliandika heri kwa ajili ya maisha yao na maendeleo ya jamii, yalikuwemo Matamko ya kuhamasisha ya Bab, katika karatasi za Origami. Huko Hachioji, familia zilikusanyika kwa sala na mradi wa kusafisha msitu wa karibu. Na katika mikusanyiko mingi yenye furaha, watu wanasimulia hadithi za maisha ya Bab na kutafakari ujumbe Wake wa ufufuko wa kiroho.