Sherehe za miaka mia mbili ni tukio la kujifunza na kutafakari kati ya makundi ya vijana Katika kufikia sherehe za miaka mia mbili, makundi ya vijana katika visiwa vya Mentawai, Indonesia, vimekuwa vikijifunza kwa utaratibu Maandiko ya Bab na Bahaullah, na kutafakari umuhimu wa mafundisho Yao.