Maonyesho ya vitabu yalitoa nafasi kwa mazungumzo Katika kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili, maonyesho ya vitabu yaliandaliwa katika uwanja wa kijiji huko Sulaymaniyah, Kurdistan mkoa wa Iraki, ambapo watu walipata fursa ya kujifunza kuhusu mafundisho ya Imani ya Kibahai.