close

Malaysia

Usherehekeaji miaka mia mbili katika bustani ya mimea
Watembezi katika bustani ya mimea (botanical garden) ya Malaysia wakisherehekea miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bab kwa kupaka rangi sehemu za bango lililoandaliwa kwa tukio hilo. Ukikaziwa katika mada ya umoja, mradi wa sanaa wa siku mbili ulipata muumbo baada ya kuangalia filamu kuhusu Bab, Kuchomoza kwa Mwangaza.