close

Turkmenistan

Kusherehekea miaka mbili kwa muziki na marafiki
Kupitia uwezo wa kisanii, jumuiya ya Ashgabat, nchini Turkmenistan walitengeza sehemu ya kuingilia wageni kutumia miwaridi kwenye eneo la nje kuadhimisha miaka mia mbili, walionyesha filamu ya Kuchomoza kwa Mwanga, na kucheza mziki dhati kwenye onyesho kwa ajili ya kuhamasisha na kuwaburudisha marafiki na majirani.