Wakisherehekea na wamiliki maduka wenzao Wamiliki wa maduka wa Ulaanbaatar, Mongolia, walisimama kwa muda kidogo katika siku zao zenye shughuli nyingi kutafakari maswali mazito yanayohusu mwelekeo wa wa krioho wa maisha. Mazungumzo yao yanavuta hamasa kutoka katika maisha ya Bab na umuhimu wa mafundisho ya Kibahai katika hali ya ulimwengu ya leo.