close

Pakistan

Sherehe inaleta pamoja watu wa dini tofauti na viongozi wa jumuiya katika Islamabad
Shirikisho la Dini tofauti la Pakistan lilifanya sherehe ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bab. Washiriki walijumuisha viongozi wa dini, watumishi katika asasi za jamii, na watumishi wengine kutoka maeneo ya Islamabad. Mjumuisho ulijumuisha sala kutoka tamaduni za dini mbalimbali zilizoshiriki.