close

Argentina

Sherehe zaleta maongezi kuhusu umoja na huduma
Katika mji wa San Javier, Argentina, familia zilikuja pamoja katika sherehe iliyohusisha sala na ushiriki wa watoto katika maonyesho ya maigizo. Uonyeshaji wa filamu Alfajiri ya Mwanga ulileta maongezi juu ya umoja na huduma.