close

India

Sherehe katika shule ya sekondari ya vidato vya juu ikioenesha umoja wa dini
Sherehe ya miaka mia mbili katika shule ya sekondari ya vidato vya juu huko Gwalior, India, ikionesha kanuni ya umoja wa dini katika dansi. Mkusanyiko, uliohudhuriwa na watu wa rika zote, ulifanyika katika ukumbi uliopambwa kwa maua yaliyochanua ya marigold na kujumuisha muziki na sala za kuinua moyo.