close

Azerbaijan

sherehe zafanywa majumbani pande zote za Baku, Azerbaijan
Pande zote za ujirani huko Baku, Azerbaijan, familia na marafiki wanakutana majumbani kusherehekea sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bab. Katika sherehe hizo, washiriki wanasema sala, wanatazama filamu ya Alfajiri ya Mwanga, na wanashiriki mlo kwa pamoja.