close

Jordan

Watoto waandaa sherehe kwa ajili ya jamii yao
Kikundi cha watoto huko Jordan, waliadhimisha sherehe za miaka mia mbili kwa kuwasilisha nyimbo na zawadi kwa jamii yao. Watoto hawa ni sehemu ya darasa linalosaidia washiriki kuendeleza uwezo kuchangia katika uboreshaji wa jamii yao.