close

Ureno

Wimbo wa watoto kutoka visiwa vya Azores
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Azores, Ureno, aliandaa wimbo huu kama sehemu ya albamu ya muziki ya watoto iitwayo “Vamos Ser Amigos,” ama “Njoo Tuwe Marafiki,” kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili.