close

Samoa

Kwaya ikifanya mazoezi kwenye Nyumba ya Ibada ya Samoa
Kwaya, iliyojumuisha watu wa kila umri, imekuwa ikifanyia mazoezi nyimbo kadhaa katika Nyumba ya Ibada huko Apia, Samoa, zitakazoonyeshwa katika sherehe zijazo za miaka mia mbili.