close

Bolivia

Chuspa zilizotengenezwa kwa mikono zikichunguza mada za kiroho kupitia sanaa ya tarizi
Msanii wa Oruro, Bolivia, katika kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili alitengeneza chuspa, mfuko uliotengenezwa kwa nguo wa kiasili, ikiwa na miundo ya tarizi inayochunguza mada za kiroho. "La chakana" ikimaanisha "daraja linalounganisha na wa juu," ni ishara ya watu wa asili; mwewe na mimea wanaashiria ulimwengu wa asili; na jua lenye pembe tisa ya rangi rangi yenye muundo kwa ndani inaashiria kuja kwa Mitume tofauti wa Mungu na uhitaji wa wanadamu wa mafundisho ya kiroho.