close

Papua Guinea Mpya

Madarasa yajengwa kwa ajili ya madarsa ya watoto
Katika ujirani wa Lae, Papua New Guinea, darasa lilijengwa kukabiliana na shauku inayoongezeka kwa watoto na vijana kushiriki katika shughuli za mafunzo. Pamoja na vijana wadogo kadhaa waliojiandikisha kwa madarasa, jamii ilihitaji eneo kwa ajili ya kundi hili kubwa na ilijikusanya hususani wakati wa maandalizi ya sherehe za miaka mia mbili kutoa sehemu itakayozuia mvua kughairisha madarasa.